Mtaa Mentality - Juliani Ft Ciiru
Nhee nhee nheeeeiiiya x2
Heiyo niaje wazeiya...
Kijiji ndaniya nyumba..
Heiyo Juliani ndan'ya nyumba
Mikono do this
Nhaha... the Jesus way
Story mtaa kuveveka na manzi ka Vivica Fox,
Chairman ka Doctor Norman,'Taka BMW anza na BMX...
Yeah man, Zingine zote haziingii zikuget busy,
Dough itabidi bro, ku-stretch vidole kwenda,
Pocket ya stranger, the higher the slit kwa skirt,
The easier ku-get works,
Politician 'kuja base, tunanjaa ana belch,
Ku-get through, trous tunadoo high ka long'i kwa kioni ya wasee wa boushe boushe,
Religion ni ukweli bootleg, Na google kujimudu,
Angle theta sole ya kiatu,Wengine ikizidi Greencard vuka border,
Mi noma ku-afford ata bodaboda,
Sina na rims... tims... mabling-bling,(nhaha) lakini na uhusiano na king of kings,
Chorus
(Ciiru)
Streets wanaliuliza ni aje , iko wapi suluhisho ya ku-make a difference,wanaliaaah x2
(Juliani echoing in Background )
Mtaa mentality x4
We hujui
Mtaa mentality
nasema nao, ama vipi
Ndoto za kula kwa sahani moja na Bill gates,
Kutoa sukuma-ugali kwa menu niweke pizza-burger,
Ninahitaji pegs kagundua sina uwezo nkaenda kwa mwenye uwezo nikaokoka,
Devil ananikatia kaa nyoka, anasumu kwa mdomo anataka kuku-kiss,
Wana-respect flow atakaa ...patipati kwa mguu,
Heiyoo, ingia katikati ya mguu, hustler nataka ku-improve niwe baller,
Ni-buy ki-mercedes,lakini ma-fanz hawataki ku-buy ma CDs,
Wee ita waiter a-baptise chapo slice na supuu ya dondo,
Tuendeshe ka mr. Igigi ki-merc feh biggie biggie tupac!?
Chorus
(Ciiru)
Streets wanaliuliza ni aje , iko wapi suluhisho ya ku-make a difference,wanaliaaah x2
(Juliani echoing in Background )
Mtaa mentality x4
We hujui
Mtaa mentality
nasema nao, ama vipi
Yesu ndo the answer nakiri bila apology,
Aki-come utaachwa nyuma kaa bodyguard,
Ama BGV, bidii from boy javelin to boy java,
Tulizoea kujipapasa kutafuta kama ziko,
Skwizi tunachagua manoti kwa mfuko,
Hatu-mind Buzz na Pulse kuparara ma paatipati,
Sikua boy wakuinua mkono kwa class...kujaza ma cross-word,
Nina dhamana juu naongea kuhusu gross na word,
Waniombea mema ukiniita baabi juu na-sag long'i baggy,
Mi ni-boy basi, broke millionaire, chuo nilipitia sikupita,
Hio sitapinga, niite jinga,Jesus, ye ni nyota ya mchana,
Kwa giza kila mshii ni msupuu (pause)...MBEAUTIFULL
Chorus
(Ciiru)
Streets wanaliuliza ni aje , iko wapi suluhisho ya ku-make a difference,wanaliaaah x2
(Juliani echoing in Background )
Mtaa mentality x4
Kwi hujui
Mtaa mentality
Heiyo Mtaa mentality
nasema nao, ama vipi
Ciiru fades the song out gracefully....
Sunday, November 25, 2007
Mtaa Mentality
Posted by Anthony @ 3:30 PM
Labels: Ciiru, Juliani, lyrics, Mtaa mentality
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment